Pages

table

table

Saturday, August 20, 2016

TIBA YA UGONJWA WA NGIRI (HERNIA)

Sehemu za kawaida  zinazokumbwa  na Ugonjwa wa Ngiri mara kwa mara



Chukua juisi ya kitunguu saumu ujazo wa chupa ya soda na asali ujazo wa chupa ya soda chemsha pamoja kwa muda wa nusu saa mpaka ibadilike rangi.Baada ya kupoa uwe unakunywa vikombe viwili vya kahawa, asubuhi, mchana na jioni mpaka umalize dozi hiyo.



11 comments: