HABALSODA
Paka
mafuta ya habalsoda mara tatu kila siku pamoja na kula kijiko cha unga cha unga
wake kila umalizapo kula katika kikombe cha juice ya karoti.Endelea kufanya
hivyo kwa muda wa miezi mitatu.
STAFELI
Pia
pendelea kunywa juisi ya tunda la mtopetope au stafeli, Stafeli lina mchanganyiko wa virutubisho wenye uwezo mkubwa
wa kuthibiti ukuwaji wa seli za saratan mara 10,000 zaidi ya dawa ya
adriamycin ambayo ndio hutumika kutibu saratani.
MAJANI YA
MSTAFELI
Licha ya
tunda la mstafeli 10,000 kuwa na virutubisho vyenye uwezo mkubwa wa
kuthibiti ukuwaji wa seli za saratani, utafiti umeonyesha majani yake pia yana
uwezo sawa na tunda hilo.Tumia majani hayo kwa kutengeneza juice na uinywe au
tafuta jani moja la mstafeli kutwa mara tatu pia unaweza kuchuma majani hayo na
kuyakausha kwa matumizi ya vinywaji vya moto kama chai na vingine unaweza
kutumia kama tiba au kinga ya saratani zote.Utafini umeonyesha majani ya
stafeli yanauwezo wa kutibu aina 12 za saratani zikiwemo saratani ya matiti na
tezi dume, tumia majani haya 100% utapona kabisa.
ASALI
Chukua
mkate wa nyuki kutoka mzingani moja kwa moja kiasi cha miligarmu 100 kila wiki
mara moja na kula asali pamoja na nta yake kila siku kiasi cha
kikombe kimoja na sugua mwili wako kwa asali na mafuta ya habalsoda,
kisha oga baada ya saa moja kwa maji yenye uvuguuvugu, baadae kula asali
iliyochanganywa na unga wa habalsoda katika juisi ya karoti kila
siku.
KITUNGUU
SAUMU
Kitunguusaumu
kina virutubisho vingi vinavyozuia saratani, kila mgonjwa wa saratani
anashauriwa ale kwa wingi kitunguu saumu na karoti kwa wingi. Kwa Uwezo wa
Mwenyezi Mungu tiba hii itampa mgonjwa matokeo mazuri kwa haraka.
KITUNGUU
MAJI
Kausha
vizuri maganda ya kitunguu kweye jua, yasage na kiasi kama hichi cha magamba
ya Muoka halafu yakande katika asali, chukua kiasi
cha kijiko kimoja ukoroge katika juisi ya karoti na unywe kila siku kwa muda wa
mwezi mmoja mfululizo..Baada ya hapo utakuwa ukivuta puani moshi wa kitunguu
kabla ya kulala kwa muda wa mwezi mmoja.
No comments:
Post a Comment