Kisukari (Diabetes) moja
kati ya mogonjwa yaliyoibuka miaka ya hivi karibuni, ugonjwa huu mwanzoni
uliaminika huwapata wazee tu na vijana wa makamo lakini hivi sasa takwimu
zinaonyesha ni ugonjwa unaowapata hata watoto kuanzia umri wa miaka 4 na
kuendelea hakika ni hatari isiyoweza kusimulika.Kiini cha tatizo hili
inasemekana ni ulaji uliopindukia wa vyakula vyenye sukari nyingi na wanga (
soda, mikate nk) vyakula ambavyo upelekea insulin kushindwa kusambaza sukari
hiyo mwilini kutokana na uwingi unaopokea kutoka kwa mlaji, sababu ingine ni
mfumo wa maisha wa watu wengi kutopendelea kufanya mazoezi ili kupunguza sukari
inayoingia mwilini. nini tiba ya kisukari au kinga
yake?
Rose
Periwinkle
Haya ni maua common kabisa nyumbani kama hauna kwako basi yapo kwa
jirani, ua hili ni moja ya kati ya tiba bora kabisa ya ugonjwa wa kisukari kama
ulikuwa ufahamu hili tambua sasa.
Matumizi
Tafuna jani la ua hili kutwa mara tatu, asubuhi moja, mchana na
jioni kwa siku 14 hadi 21 kwa aina zote za kisukari ( Type1 na 2) au chuma
majani 12 hadi 14 kisha tengeneza juisi na unywe glass 1 kutwa mara tatu. Pia
ni kinga kwa wale ambao bado ugonjwa huu haujakupata tafuna jani moja atleast
mara moja kwa wiki au mbili.
Hibiscus FLowers
Nani asiyelijua ua hili? Ni maua tunayokutana nayo kila
siku ya maisha yetu, ni moja kati ya tiba ya kisukari kuaznia siku 8 hadi 28 na
unapona kabisa kisukari hakuna miujiza katika hili.
Matumizi
Chuma majani ya ua hili kuanzia majani 10 hadi 12 na yasage kwa
kutumia blenda au kinu kisha changanya maji lita 1 unywe asubuhi 1 na jioni
glasi 1 kwa siku 8 hadi siku 28 kulingana na usugu wa ugonjwa ulionao.Kabla ya
kutumia chukua kiwango cha sukari na uwe unapima kiwango hicho kila ukamilishapo
muda wa dozi ili kujua km umepona au la muda wa dozi ni kuanzia siku 8 hadi 28.
No comments:
Post a Comment