Pages

table

table

Monday, April 16, 2018

DAWA SUGU YA UTI


Urinary tract infection (U.T.I) ni ugonjwa wa maambukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe kama bakteria, fangasi na virus. Mara nyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo. U.T.I's inaweza kuathiri njia ya haja ndogo, kibofu cha mkojo na figo.Tafiti zinaonyesha Wanawake ndio wathirika zaidi wa ugonjwa huu.

Njia mbadala ya kujiking na UTI
Zipo njia kadhaa ambazo zimeshauriwa na wana tiba ikiwa ni pamoja na unywaji wa maji mengi, usafi wa mara kwa mara wa choo na wanawake kujisafisha kila wajisaidiapo haja ndogo kwa kutumia maji safi na salama wanatakiwa kujisafisha kuanzia mbele kurudi nyuma ili kulinda urethra. Lakini wapo watu wengi wanasumbuliwa na ugonjwa huu licha ya kutumia njia zote zilizoshauriwa kitaalam. Nini tiba ya UTI sugu?

BICARBONATE OF SODA






Ndio Bicarbonate of Soda wengi wanaitambua kama chapa simba ndio suluhisho lako sasa, sodium corbonate iliyomo kwenye unga huo ina aminika kuwa na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali kwa matumizi lukiki katika kila siku ya maisha yetu ikiwemo kung’arisha  meno, vyombo nk ikiwa na faida za kiafya pia.
Matumizi
Chukua unga wa Bicarboante soda robo kijiko cha chai changanya kwenye glasi ya maji yenye ujazo wa mililita 400 kisha uwe una kunywa asubuhi kabla ya ujala kitu chochote na jioni kwa siku 7 utapona kabisa.


24 comments:

  1. Tiba za uti sugu..uvumba uvumba uzaz .kukuza uume ...kukuza shape hips na makalio..miguu kuwaka moto.. kupata watot mapacha wasiliana na dr wa mitishamba 0744903557 tanga

    ReplyDelete
  2. Jamani hiyo mbona utachoma tumbo esp kwa sisi wenye vidonda vya tumbo?

    ReplyDelete
  3. Anaesumbuliwa na vidonda vya tumbo awasiliane nami kwa email yyelgh@hotmail.com na matibabu ni ndani ya siku 7 utakuwa umepona kabisa na tiba zetu tunatumia vidonge vilivyotengenezwa kwa miti shamba.

    ReplyDelete
  4. Nilishawahi kufanya ila nilikuw nikiweka kijiko kizima

    ReplyDelete
  5. Nilishawahi kufanya ila nilikuw nikiweka kijiko kizima

    ReplyDelete
  6. Khali yangu imekuwa mbaya sana, sikuwah kupata huu ugonjwa...ila nimeupata na unanisumbua sana, na nilijaribu kumconsult doctor akaniandikia dawa zinaitwa cipro...ila sion matokeo mazuri

    ReplyDelete
  7. Huu ugonjwa unanisumbua takribani mwaka na miezi minne sijui nifanye nn nmeshatumia dawa nyingi sana lkn bado unanisaidiaje tafadhari😔

    ReplyDelete
  8. Urinary tract infection is the disease which affect urinary bladder and urethral path which may be caused by eschelichia colli as predominantly causative agent though we have other bacteria such as staphylococci saprophyticus.it mainy affect female rather than make due to genital part of female are close to anus thus make easy spread.treatment can be done by ceftriaxone as first choice drug,,,
    It typed by warioba matunga
    Health scientist

    ReplyDelete
  9. Huu uginjwa umekuwa kama wimbo wa Taifa aisee.

    ReplyDelete
  10. Naomba kufahamu waliotumia hiyo dawa ikawasaidia

    ReplyDelete
  11. Mimi niliandikiwa cefixime, azithromycin, metronidazole, doxycycline ceftriaxone na norflox na bado mkojo unachoma na pia frequent urination hijaisha

    ReplyDelete
  12. Sijaona majibu ya mtoa ushauri wa kutumia shapa simba..... Naona anatuingiza mkenge.... Jitayarishe kutoboka utumbo

    ReplyDelete
  13. Nani aliyetumia hv chapa simba akapata matokeo mazuri

    ReplyDelete
  14. Jamani huu ugonjwa sikuwahi kuupata ila sasa mwezi wa sita nimemeza dawa nyingii Sana ila hali bado ipo pale pale

    ReplyDelete
  15. Naomba kufahamu dawa ya asili ya u.t.i kwa mjamzito.

    ReplyDelete
  16. Hata mm hyo ya chapa simba nishaiona but wanatumia magad kidogo kweny lita ya maji

    ReplyDelete
  17. Dawa nyingine ya asili ambayo Mimi nimetumia ikanipa matokeo mazuri! Menya nanasi chukua maganda yake changanya na mchaichai chemsha hakikisha inachemka vizuri hadi maji yanakua na Ile rangi ya mchaichai na rangi ya nanasi ikishaiva iweke kwenye chips ipoe halafu tumia kikombe kimoja kila unapohisi kiu UTI itaisha kabisa na uwe unakunywa Mara kwa mara Kama hujaelewa nichekie 0765146109/0692908188

    ReplyDelete
  18. Kiukweli hata mimi ugonjwa huu umenitesa sana nilienda hospital nikapewa dawa lkn bado kibaya zaidi hadi uume unaanza kushindwa kusimama barabara

    ReplyDelete
    Replies
    1. ingia instagram mtafute huyu dada anaitwa (digmathy) ni suluhisho ukimuelezea atakusaidia.dawa zake ni gharama lkn zinamaliza tatizo

      Delete