Pages

table

table

Sunday, August 14, 2016

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME



Upungufu wa Nguvu za kiume kwasasa limekuwa ni tatizo sugu sana kwa vijana wengi na watu wazima pia , tatizo hili linapelekea mahusiano mengi kuvunjika ama wapenzi kutoka nje ya ndoa kwenda kutafuta lidhiko la tendo hilo kusiko julikana. Tibazetuasili.blogspot inakuletea suluhisho la kudumu la tatizo hilo. Zipo sababu nyingi zinazopelekea Mwanaume kuishiwa ama kukosa nguvu za kiume kabisa , zifuatazo ni sababu chache zinazopelekea tatizo hilo.
1. Matatizo ya Kihisia.
  • Kukosa hamu ya tendo la ndoa 
  • Wasiwasi
  • Hasira
  • Msongo wa mawazo 
  • Huzuni
  • Hofu na mashaka
2. Sababu zingine ni:-
  • Pombe
  • Madawa ya Kulevya
  • Uzee
  • Kisukari
  • Uzinzi
  • Shinikizo la damu
  • Kufonya mazoezi mara kwa mara
  • Hofu na mashaka
  • Kukamia 
Zipo njia nyingi za kujitibu tatizo hili baadhi ya njia hizo ni kwa kutumia

1. KITUNGUUSAUMU.
Saga vitunguusaumu  tembe 3 hadi 5 chuja na upate juisi yake, kunywa asubuhi kabla ujala kitu chochote kama ukijshindwa kutokana na ukali changanya kijiko kimoja cha asali ndani yake, fanya hivyo kwa  muda wa wiki moja au mbili kutokana na ukubwa wa tatizo lako.







2. HABALSODA 
Chukua Unga wa habalsoda kiasi cha kijiko kimoja changanya ndani ya mayai saba ya kienyeji kisha kaanga au kunywa kama unaweza, fanya hivyo kila siku kwa muda wa mwezi mmoja.Tiba hii ni ya uhakika uamsha misuli ya uume hata km una miaka 120 utapata nguvu za kijana.






3. ASALI
Chukua vitunguu maji vitatu kisha viponde upate  juice yake, changanya asali kiasi sawa na juice ya kitunguu maji uliyoipata changanya na chemsha mchanganyiko huo huku ukikoroga mpaka povu la sli liishe, halafu tia ndani ya chupa uwe unakunywa kiasi cha kijiko kiomija kila baada ya kula kila siku. Unaweza kuongeza mchanganyiko huo na unga wa habalsoda utazidisha nguvu zaidi.






     

No comments:

Post a Comment